Tabia ya ‘kupasha viporo’ chanzo maambukizi ya VVU Ugonjwa wa Ukimwi bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo.
HESLB yaanza kutoa majina ya wanufaika wa mikopo elimu ya juu Taarifa iliyotolewa na HESLB imesema kuwa wanafunzi wote walioomba mkopo watapata taarifa zao kupitia akaunti walizotumia kuomba mkopo.
Jinsi ya kufanikiwa kibiashara Kariakoo Waswahili wanasema polepole ndio mwendo na mtaka cha uvunguni sharti ainame. Hiyo ni misemo inayoakisi maisha ya Senkondo Mashaka (23), mlemavu wa mguu anayeeleza safari ya mafanikio yake kutoka...